Jumanne, 28 Machi 2017

Griezmann asema hana mpango wa kwenda Manchester United

Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid Antoine Griezmann, ameitakatisha tamaa Manchester United inayotajwa kuwa katika harakati za kumsajili mwishoni mwa msimu huu, kwa kusema hana mpango wa kuondoka mjini Madrid kwa sasa.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26, amekua chaguo la kwanza la Jose Mourinho kuelekea usajili wa majira ya kiangazi, lakini kauli yake ya kusema bado ni mwenye furaha huko Vicente Calderon inafuta harakati hizo.

“Mustakabali wangu? Binafsi ninategemea kuuonyesha uwanjani na sio sehemu nyingine katika maisha yangu, sina mpango wa kuondoka Atletico Madrid na ninafurahia maisha ya klabu hii,” Griezmann aliiambia Telefoot.
“Ninasisitiza tena, ninafurahia maisha ya mji wa Madrid. Hakuna kitakacho badilisha msimamo wangu.”

Juma lililopita meneja wa Atletico Madrid Diego Simeone aliwaambia waandishi wa habari kuwa, hatompangia wala kuweka msimamo kwa mshambuliaji huyo kubaki au kuondoka klabuni hapo.

Alisema Atletico Madrid ilishawahi kuwa na washambuliaji waliosiofika duniani kama Sergio Aguero, Falcao na Diego Costa lakini waliondoa Vicente Calderon.

Introducing Nike Football's Next Technological Achievement

Introducing Nike Football’s next great technological achievement. No, they’re not putting grass in this PE like they did for Odell Beckham , but the Nike Alpha Menace Elite introduces a new cleat base that should help peak performers reach their quickest speeds while allowing them to stop on a dime this coming gridiron season.

The Nike Alpha Menace Elite was built to be both versatile and explosive for NFL playmakers used to changing speed and direction much like Seattle Seahawks quarterback Russell Wilson. The Menace utilizes fourteen studs on the outsole, eight with a standard stud that you’ll find on most Nike cleats while secondary studs add a unique configuration for better multidirectional traction perfect for cutting. The triangular edges on the studs grab and release the field almost as a shovel would.

“We used an algorithm that dictated what the lightest, strongest structure was, and we built the plate based on that information,” Nike Sr. Inline Innovator and lead footwear designer Jeff Rasmussen explained. After analyzing data, designers moved away from the usual carbon fiber for a combination of different textiles for the outsole. The upper is comprised of Flyknit and TPU yarns for a lightweight lockdown fit.

“This cleat means everything to me,” Russell Wilson said. “When you’re a young kid you dream of certain accomplishments and things you want to do in the sports world, and this is everything that I dreamed of.”

New Oregon Ducks from Jordan

One Oregon Ducks fan is definitely ready for their appearance in the Final Four this year. Oregon and apparent PE sneaker super fan Andy Maletis took to Instagram to no-so-subtly flex his amazing collection of Nike and Air Jordan Oregon player exclusives, which may just be the best in the world. He seems to have all the heavy hitters of the Oregon PE’s throughout the years: Air Jordan 4‘s, Air Jordan 3’s, Air Jordan 5’s, the LeBron 2.

And if the shoes themselves weren’t impressive enough, a few of them are even signed by Tinker Hatfield. If you know anybody with a better Oregon PE collection, let us know.

Zayn Malk ft Taylor Swift-I Dont Wanna live Forever lyrics

[Zayn:]

Been sittin' eyes wide open behind these four walls, hopin' you'll call
It's just a cruel existence like it's no point hopin' at all
Baby, baby, I feel crazy
Up all night, all night and every day
Give me somethin', oh, but you say nothin'

What is happenin' to me?
I don't wanna live forever
'Cause I know I'll be livin' in vain
And I don't wanna fit wherever
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home

[Taylor Swift:]

I'm sittin' eyes wide open and I got one thing stuck in my mind
Wondering if I dodged a bullet or just lost the love of my life
Baby, baby, I feel crazy
Up all night, all night and every day
I gave you something, but you gave me nothing
What is happening to me?

[Zayn & Taylor Swift:]

I don't wanna live forever
'Cause I know I'll be livin' in vain
And I don't wanna fit (fit, babe) wherever (wherever)
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I've been looking sad in all the nicest places
(Baby, baby, I feel crazy)
I see you around in all these empty faces
(Up all night, all night and every day)
I've been looking sad in all the nicest places
(Give me somethin', oh, but you say nothin')
Now I'm in a cab, I tell him where your place is
What is happenin' to me?

[Zayn:]

I don't wanna live forever
'Cause I know I'll be livin' in vain
And I don't wanna fit wherever
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
I just wanna keep callin' your name
Until you come back home

[Taylor Swift & Zayn:]

I just wanna keep callin' your name
Until you come back home
Until you come back home

Patrolanking-God over everything (GOE) lycris

Lyrics for G.O.E by Patoranking

Wha Ya Say
When Everyone dey far, you dey close me hold you like a pillar, you're close.
Me no go anywhere father Lord, Ya Ya mei yei yei
salasi oo I

fire burn, smoke rise, that was just a pain and sacrifice
fire burn, smoke rise, that was just a pain and sacrifice
You dont know what I've through my brother man you dont know
You don't know what I've through my brother man you don't know
zone to zone man rally, Port Harcourt to Cali, police shoot me pally, me listen to Bob Marley

all day all night when me burst up me Charlie with me Niggas in Paris and we singing say
God over everything everything everything everything
Jah over everything everything everything everything everything.
oluwa over everything, everything everything Oluwa over everything everything God Over Everything
Man gwan promise you today and fail you tomorrow
jah love is here to stay to take away all your sorrow.

jah jah, no let me hand fall pon the street
jah jah no let me beg fi mi ends meet
don't put your trust in man, put your trust in God. God has the final plan and the master word. king of kings, Lord of lord me five thanks to you my God when I called.
God over everything everything everything everything
Jah over everything everything everything everything
Oluwa over everything, everything everything oluwa over everything God Over Everything.

some boy dem say money money over everything, them try impress me so them spend money on everything but me tell em sayJehovah is my everything he is the first, the last and the very thing.
everywhere we go God blessing, he marsh up for my sins I'm impressing, presidential addressing oh oh check me dressing.

“God over everything everything everything everything— Patoranking
God over everything everything everything everything
Jah over everything everything everything everything everything Oluwa over everything, everything everything Oluwa over everything God Over Everything.

ahh everything everything
jah jah no let me hand fall pon the street
jah jah no let me beg for me ends meet
everything everything...

By Thomas CEO

Jumatano, 22 Machi 2017

#BREAKING: Maamuzi ya vyombo vya habari Tanzania kuhusu RC Makonda


Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kuvamia ofisi za Clouds TV na kuwalazimisha watangaza wa kipindi cha Shilawadu kurusha kipindi kinachomuhusu Askofu Gwajima kikiwa hakijamaliziwa maandalizi kinyume na taaluma ya habari, Leo March 22, 2017 Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limefanya kikao cha maamuzi dhidi suala hilo.

TEF pamoja na Club ya Waaandishi wa Habari Dar es saalam (DCPC) na Umoja wa Club za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) zimepitisha maamuzi matatu ikiwemo.

1. Kulaani vikali vitendo vya RC Paul Makonda

2. Kutoandika na kutangaza habari zozote kuhusu Paul Makonda kwenye chombo chochote cha Habari.

3. Kumtangaza RC Makonda kama adui wa Uhuru wa Vyombo vya Habari pamoja na yeyote atakayeshirikiana naye.
Unaweza kusoma kila kitu kwenye tamko hili hapa chini.

By Thomas CEO

Jumanne, 21 Machi 2017

George Shagillu

A man a fire a lion, @georgeshagillu usikose kumsikiliza kila siku #Jumatatu ➡#Ijumaa☞🕝 04:00 jioni up to 07:00 jion via #Foleni ya 93.1 @africaswahilifm #Morogoro

Cc @georgeshagillu
@georgeshagillu
@georgeshagillu

Ijumaa, 17 Machi 2017

Barnaba: Bora Tuibiwe na Diamond

Barnaba amedai kuwa ni bora fedha zao za muziki ziibiwe na Diamond kupitia tovuti yake ya kuuza muziki ya Wasafi.com kuliko watu wengine.
Muimbaji huyo ameiambia Dizzim Online, “Tumeibiwa sana wasanii, tumedhulumiwa sana. Mungu anisamehe kidogo, bora atuibie msanii mwenzetu, tunajua msanii mwenzetu anakula yupo kwenye soko letu kuliko atuibie mtu binafsi.”

“Na yeye akiwa kama CEO [Diamond] alichukua uamuzi wa busara kama heshima kutupigia simu wasanii wenzake mwenyewe kuliko kuwatuma menejimenti.

Mimi naona jambo zuri la bahati alilolifanya na nilienda nikachukuwa contract yangu na kiukweli nimeusaini lakini bado kuurudisha,” ameongeza.

Katika hatua nyingine hitmaker huyo wa ‘Lover Boy’ amewataja wasanii ambao watasikika kwenye albamu yake mpya. Wasanii hao ni pamoja na Baraka The Prince, Linex, Dela, H_art The Band, Bahati wa Kenya, Vanessa Mdee kuna Jux, Maua Sama, G Nako na wengine.

By Thomas CEO

Ni povu tu mtandaoni baada ya Willy Paul kumtembelea Diamond ofisini kwake

Changamoto kubwa aliyonayo msanii wa gospel wa Kenya, Willy Paul Msafi ni kujichanganya na wasanii wanaoimba muziki wa kidunia (secular artist).
Hata hivyo, hicho siku kitu kinachomnyima usingizi msanii huyo mwenye nguvu nchini Kenya. Na ndio maana aliamua kufanya wimbo na Mjamaica, Alaine uitwao ‘I Do’ unaotamba ile mbaya kwa sasa.

Mkali huyo ametua Tanzania wiki hii kwaajili ya ziara ya vyombo vya habari kupromote wimbo huo. Na kwakuwa yupo kwenye ardhi ya role model wake, Diamond, hakuchelewa kutua kwenye makao makuu ya WCB kusaliamiana naye.

“Now you know!!! Fruitful meeting!!! No stopping!!! @diamondplatnumz
@wasafirecords,” ameandika Willy kwenye picha akiwa na Chibu aliyoiweka kwenye Instagram

Post hiyo imezua mjadala mzito kwenye ukurasa wake na kila shabiki ana lake, ilimradi ni tafrani tu.
Hizi ni baadhi ya comments:
Veedeevirgy: I wonder how it is fruitful! No offense but I would advice some soul searching if you have the time to, God bless

princess_mwangi: Am eagerly waiting for the day Willy will say he has shifted to secular music, you really fit in secular music, gospel is a no for me… And there is nothing like gospel love song… Also we need new ideas not duplicated from someone… Anyways I wish you all the best in your music journey.. #You are awesome when you become yoi

shiqouhliz: @willy.paul.msafi am just weeping for you . Whoever sees this is right then u belong to the world @willy.paul.msafi am not righteous ata sina right yakukujudge but brother you are losing it #truth you should convert them n not the other way round but again I understand ninyakati za mwisho n it’s written in the bible ata nikachukua microphone and shout it in your ear hutaskia only God can change your mind n heart.

suzanne_awino: Kwa Yesu hakuna warm its either ua or so its either ua in gospel or secular na hizo signs zako!!!Enwe whos me to judge but am alert!! #uafulfillingthescriptures
davispicer: Dude!.. jst stop with ur shitty gospel songs uimbe secular mara moja …coz whoever ein’t seeing the signs displayed by ur hands mkiwa na Diamond must be a blinded fool..
museti2: This boy is not of gospel at all, it was just a matter of him hiding ndo arudi kwa vyia dunia! Get tu kwa secular
sethlunanijr: You’ve actually transfered
like a footballer(one team to another)FROM gospel to secular,!

By Thomas CEO

Alhamisi, 16 Machi 2017

sports:Chelsea kumsajili Lukaku na Barkley kwa paundi 100m

Klabu ya Chelsea inataka kufanya usajili wa wachezaji mawili wa Everton Ross Barkley na Romelu Lukaku, kwa mujibu wa mtandao wa Telegraph.

Ripoti zinadai kuwa Lukaku anatamani kurejea Chelsea wakati Barkley ni mchezaji ambaye alikuwa akitakiwa siku nyingi na Chelsea.

Chelsea inajipanga kwa pamoja kutoa kitita cha paundi milioni 100 ikiwa itaweza kuishawishi Everton kuuza nyota hao wawili.

By Thomas CEO

Marcus Rashford kuziba nafasi ya Rooney na Kane timu ya taifa Uingereza

Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Marcus Rashford anatarajiwa kuwa kwenye kikosi cha kocha wa Uingereza, Gareth Southgate.

Kiungo huyo ambaye ana umri wa miaka 19 hapo awali alitarajiwa kushirikishwa katika upande wa vijana mwenye umri chini ya miaka 21 watapokuwa wakicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ujerumani na Denmark wikendi ijayo.
Lakini washambuliaji wa England Harry Kane na Wayne Rooney wote wametolewa kutokana na majeraha , huku Rashford akitarajiwa kuchukua nafasi hiyo.

England itapamba na Ujerumani katika mechi ya kirafiki kabla ya mchuano wa Kombe la Dunia dhidi ya Lithuania huko Wembley tarehe 26 mwezi Machi.

Rashford ambaye mechi yake ya kwanza kuichezea Uingereza alifunga goli walipopata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Australia mwezi Mei mwaka Jana na wamejizolea vikombe sita vikuu.

Manchester United ilimchezesha waliposhindwa kwa bao 1-0 dhidi ya Chelsea katika kombe la FA siku ya Jumatatu , licha ya kutolewa katika kikosi cha hapo awali kutokana na maradhi.

Nahodha wa Uingereza, Rooney alikuwa nje wakati Manchester United ilipo kutana na Chelsea kutokana na jeraha alilolipata alipogongana na mwenzake walipokuwa wakifanya mazoezi.
Na mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane pia alitolewa nje ya uwanja kutokana na jeraha la kifundo cha mguu walipokuwa wakicheza na Millwall siku ya Jumapili.

Klabu ya Spurs imesema jeraha hilo linafanana na lile alilolipata mwezi Septemba wakikabiliana na Sunderland.

By Thde_wonderboy

Entertaiment:Eddie Murphy kuja na Coming to America 2

Coming to America ni filamu ya zamani ninayoweza kuitazama kila siku na isinichoshe kutokana na kisa chake cha kusisimua. Na sasa mashabiki wa filamu hiyo, tumepata habari njema.

Muigizaji wa filamu hiyo, Eddie Murphy ameonesha dalili ya kuja na muendelezo wake. Vyanzo vilivyo karibu na Eddie vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa muigizaji huyo yupo kwenye hatua za kwanza kuiandika. Bado haifamiki kama waigizaji wa mwanzo watarudi kwenye muendelezo wa filamu hiyo.

Muigizaji huyo alionjesha ujio huo kwa kuweka picha ya Vanessa Bell Calloway na kuandika: Coming to America sequel?”
Tweet hiyo imeshafutwa pamoja na akaunti yenyewe kwasababu Eddie alikuwa amepanga kusema kitu kama hicho lakini si mapema hivi.

By Thomas CEO

WARNING: most dangerous drink in the world

Everclear
Speaking of grain alcohol and ethanol, we bring you the scourge known as Everclear, a 190 proof (95% alcohol) monstrosity that will send your dumbass to the emergency room – if you make it there at all. Incredibly, while Everclear can be found in small doses in drinks like the aforementioned New Orleans Hand Grenade, brave and dumb Darwin Award candidates will actually do straight shots of Everclear to prove their manhood or some such nonsense.

Some real talk: I had a friend who spilled a bottle of Everclear on his kitchen floor at a party – a party with people smoking.

Yeah, you can see where this is headed, right? Naturally, the floor went up in flames.
That’s how dangerous Everclear is – it won’t just destroy your body, it will burn your home to the ground. There’s a reason it’s illegal in 14 states.

Updates:Kilizone website coming soon

Script

Inakuaje unapokuwa na rafiki ,rafiki anae kushaur kwa kukupa mbinu za kibiashara na kukuleta karibu na wateja wako wa biashara zako

Wakati ni wako sasa wa kukaa nyumbani na kufanya biashara ya bidhaa yako kwa kutumia simu yako

Rafiki wa kweli ni kilizone....

Nivrahisi tu

Uza bidhaa yako

Gari

Nyumba

Mifugo

Laptop

Simu

Nk

Kwa kupiga picha bidhaa yako na ku uproad bure kabisa kwenye tovuti ya kilizone

http://www.kilizonetz.com

Walipo wateja wako na kuiuza bidhaa yako ndani ya masaa 24

Kilizone tunakuweka karibu na ulimwengu

FashionTips:CUTE KITENGE DRESS DESIGNS’ IMAGES OF THE BEST AFRICAN STYLES

Kitenge or African print is beautiful and versatile material to work on and create fashion gems. The revolution has hit and there are some quite lovely ways of creating that perfect Kitenge masterpiece. Below are some of our favorites Kitenge dress designs’ images for your style inspiration

CUTE KITENGE DRESS DESIGNS’ IMAGES OF THE BEST AFRICAN STYLES

1. FLORAL SIDE SLEEVELESS DRESS
This design brings a lively and wild aspect to a traditional Kitenge dress. The reason why this design piques our fancy is that it reflects a patterned glory in symmetry. The floral texture side is a trendy and stylish addition to the design.
READ MORE: Kitenge Designs for Short Dresses That Are Cute

2. THE LONG MAXI HIGHLIGHT DRESS
This Ankara print maxi dress gives a whole new dimension and with the bright top and folded upper side. This is the perfect design for the outdoor and formal events as it reflects a beautiful aura in its simplicity.

3. THE SINGLE PRINT MINI DRESS
This was among our best Kitenge Dress Design images. The piece encompasses and brings together a simple yet edgy African touch. The Arrow print has been flooding the African print cloth and is noticeably a cute design inspiration.

4. THE JEANS-KITENGE FUSION
This piece reflects the merging of two of our favorite materials; jeans and Ankara. The midsection domination by the print and jeans on the side sounds as good as it looks. This edgy dress design is a beautiful starting point for even more fusion-inspired pieces.

5. THE ASYMMETRIC TOUCH KITENGE
Its impossible not to fall head over heels(if you pair them with this dress) for this genius piece. This runway sleeveless Kitenge dress design image captures a bold and imaginative creation in it’s fullness. The side add-ons add a lovely flavor of chic.

6. THE DRESS-TRENCHCOAT ILUSSION
This is perhaps one of the freshest designs into a Kitenge dress. It gives an illusion of the compactness of a trench coat with the loveliness of a dress. This design is audacious in the best possible African way.

6. THE MULTI-PRINT PANT SUIT
This Kitenge dress design image is a reflection of what happen when formal gets creative. The blouse is a different design to the pants and this adds outstanding dimension to the piece.

7. THE MONOCHROME-PRINT MINI DRESS
This captures the ease and essence of a mini dress and an ingenious design in one outfit. The African print single sleeve is a great add-on =and completes this look beautifully.

8. THE STRIPE-PATTERN MAXI DRESS
This kitenge dress design image blends the same patterned creation in opposing arrangements. This builds interest and reflects quite a bit of uniqueness to an otherwise simple design.

9. THE MERMAID MONOPRINT DRESS
This is one amazingly lovely African design paints contours in a whole different light. The curvy design and single print blend in beautifully with the bold top. This gem is great for outdoor events.

10. The High Neck Two Piece Design
This style works by combining the top and blouse design into that perfect mini dress.The silver highlights on the top part give the angled design a flare that immediately stands out with the African print design.
READ MORE: How to Style your African Kitenge Designs

11. The Hooded Bubble Dress Design
This little-red riding hood inspiration is as classic as the fairy tale itself. It graciously outlines modern design in a very laid back background and this is the main reason why we are in love with it. It’s also perfect for outdoor adventures.

12. THE WRAP-FLOWING DESIGN
Th robe design in this one gives an edgy yet graceful look to the Kitenge print. A glowing mini design belt holds the two edges into a design masterpiece giving it a nod from all fashion enthusiasts.

13. THE MAXI BUBBLE DRESS
Nothing says fusion like a high-slit bubble African print dress. This kitenge fashion design captures essentially what it means to be African and glamorous. The bubbly part adds immense dimension to the fusion and no doubt makes it to one of the top designs in our list.

14. THE FLOW-CENTRED MIDI DRESS
This design utilizes the power of the central outlook. The beauty comes in the patterns that blend to the circle on the top and the lower part. The icing on this designer cake is the skirting that fuses an edgy flowing design to complete it.

15. THE MIDI BLACK DRESS WITH ANKARA
This design combines the beauty of the little black dress into a midi Ankara fashion jewel. The simplicity makes the African print make a decorous subtle effect on the dress. Getting a matching handbag makes the whole outfit fall into place perfectly.

G Nako akana kuicopy ‘Go Low’ ya FlowKing Stone wa Ghana

IGo Low’ ni ngoma mpya ya G Nako na Jux ambayo imepikwa na mpishi wa mziki anayefanya vizuri nchini kwa sasa King Luffa licha ya ngoma hiyo kufanana Chorus na ngoma ya FlowKing wa Ghana.
Kwa upande wangu kila nikisikiliza ‘Go Low’ ya kibongo na ya Flow King wa Ghana nikifika kwenye Chorus naona hakuna utofauti kabisa nikahisi labda kuna kitu kimejificha tusichokijua kutoka kwa G na huyo mjamaa. Nimemtafuta G Nako amegoma kuicopy ngoma hiyo iliyotoka August mwaka jana na Ilifanya vizuri sana huko Ghana..

Inatokeaga nyimbo kufanana na sio kitu cha ajabu sana unajua, lakini mimi before nilikuwa sijafahamu nimekuja kujua baada ya kuitoa hiyo kazi,” ameyasema kupitia kipindi cha Zero Planet cha Ice Fm.

“Mi uwa nacreate idea zangu lakni nahisi imetokea tu bahati mbaya idea kama zimefanana hivi.

ameongeza
Alipoulizwa kama idea ametoka nayo home au aliikuta studio, G amesema, “biti niliikuta studio na hiyo kazi imetengenezwa studio na hiyo kazi sisi tumeitengeneza mwaka jana na video tumeshoot mwezi wa tisa.

Go Low ya Ghana ilifanya vizuri zaidi pale FlowKing Stone alipofanya remix ya ngoma hiyo kwa kuwakutanisha wakali kibao kama Stonebwoy, Edem, D Black, Teephlow, Gasmilla.

Jumatano, 15 Machi 2017

Timu nane zilizofanikiwa kufuzu robo fainali ya UEFA Champions League 2016/2017

Usiku wa March 15 2017 ilichezwa michezo miwili ya mwisho ya hatua ya 16 bora ya marudiano ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017, Man City walisafiri kucheza dhidi ya AS Monaco Ufaransa wakati Atletico Madrid walikuwa wenyeji wa Bayer Lerkusen ya Ujerumani.

Kwa bahati mbaya Man City wanaaga michuano hiyo kwa kukubali kipigo cha goli 3-1 hivyo wanaondolewa kwa aggregate ya 6-6 kutokana nakuruhusu kufungwa goli nyingi nyumbani, kwa upande wa Atletico Madrid wanafuzu kwa kuifunga Bayer
kwa aggregate ya goli 4-2 licha ya mchezo wa leo kumaliza kwa sare tasa 0-0.

Michezo hiyo ndio iliyofunga hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017, kwa sasa michuano ya
Champions League inaingia hatua ya robo fainali, kufahamu timu ipi itacheza na ipi itajulikana Ijumaa ya March 17 baada ya kuchezeshwa droo.

By Thomas CEO

About Tpb bank of Tanzania

The Tanzanian Postal Bank plc (TPB) is a licensed commercial bank in Tanzania and one has the roots of one of the oldest banking institutions in the country.[2] The bank traces its roots to the Tanganyika Post office Savings Bank, however, today it is an entirely independent entity from the
Tanzania Posts Corporation.

[3]
History
Incorporation
In 1925 the Tanganyika Post Office Savings Bank Ordinance was passed by the British Colonial government that established the Tanganyika Post office Savings Bank. The bank became operational in just two years in 1927. [4]
Financial Sector Reform
After the government of Tanzania began financial sector reform following the end of
Ujamaa economic policies in the country, the Tanzania Post office Savings bank was transformed into a separate entity, the Tanzania Postal Bank. The Tanzania Postal Bank Act No. 11 of 1991 created the bank as a separate entity from the Tanzania Posts and Telecommunications Corporation.

[5] Since attaining its independence, the bank has provided services to a much larger population than before and it has begun to provide a profit to the government.

Public Limited Company
In 2015 the bank management declared that the bank will list the bank on the Dar es Salaam Stock Exchange, in order to raise capital to expand and automate the companies operations. [6] On January 19, 2017, the bank officially rebranded the company and Tanzania Postal Bank Limited changed its name to Tanazania Postal Bank Plc. [7]
Corporate Affairs

Ownership
As of December 2016 the banks ownership is split among four stakeholders. [8]
Tanzania Postal Bank Stock Ownership
Rank Name of Owner Percentage Ownership
1 Government of Tanzania 85.87
2 Tanzania Posts Corporation 8.22
3
Revolutionary Government of Zanzibar
3.04
4 TP & TC Savings and Credit Society 2.87
TOTAL 100.0
Business trends
Tanzania Postal bank year ends on December of the year
2012 2013 2014 2015
Total Revenue (TZS Billions) 31.10 38.48 53.22 74.49
Interest Income (TZS Billions) 20.87 26.60 34.75 49.43
Profit After Tax (TZS Billions) 4.07 4.74 6.77 8.27
Total Assets (TZS Billions) 167.3 200.8 297.8 370.7
Number of Branches 28 28 28 28
Number of Employees 444 454 574 660
Notes/sources [9] [9] [9] [1]

WASAFIIIIII......!!!!

https://www.wasafi.com

SIMBA SPORTS CLUB WAITIMIZA NDOTO YA DOGO WA DODOMA ALIYEANDIKA JINA LA AJIBU MGONGONI

Kama Lionel Messi alivyoweza kuifanya ndoto ya mtoto wa Afghanstan Murtaza Ahmadi kuvaa jezi yenye jina la Messi mgongoni mwake kuwa kweli basi ndivyo ilivyo kwa yule dogo wa Dodoma aliyeandika jina la Ibrahim Ajib mgongoni mwa t-shirt ilivyotimia.

Baada ya Messi kupata taarifa kuna mtoto ametengeneza jezi kwa mifuko ya rambo na kuiandika jina Messi mgongoni, alimtumia jezi aliyoisaini lakini baadae alifanya mpango wa kukutana na mtoto huyo.
March 13, 2017, kuna picha ya bwana mdogo ilikua ikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Picha hiyo ilimwonesha kijana mdogo akiwa ameandika hiba la mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib mgongoni mwa t-shirt yake hali iliyoashiria dogo huyo kumkubali sana nyota huyo wa Msimbazi na Taifa Stars.

Klabu ya Simba iliguswa na tukio hilo, ikapost picha ya kijana huyo na ujumbe wa kuwaomba wanaomfaham kufikisha taarifa zake kwa uongozi wa klabu ili waweze kumfikia kwa urahisi.
March 14, 2017 zimetoka taarifa kwamba, dogo huyo amepatikana na tayari uongozi wa Simba umeshatuma jezi yenye jina la Ajib kwa ajili ya kijana huyo aliyepigwa picha wakati Simba ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

Hatimaye ndoto ya kijana huyu itatimia baada ya kuliweka jina Ajib mgongoni mwake.
Hongera kwa uongozi wa klabu ya Simba kwa kujali, ni jambo jema la mfano na la kuigwa kwenye medani ya michezo.

By Anord Medson jr

Diamond: Mwacheni Harmorapa ajitapatie riziki yake

Harmorapa limekuwa jina tajika kwa sasa si nchini Tanzania pekee bali tayari limeanza kupenya eneo zima la Afrika Mashariki. Mkali huyo kwa sasa anatamba na wimbo Kiboko ya Mabishoo aliyoifanya hivi karibuni akimshirikisha mkongwe wa Bongo flava Juma Nature aka Sir Nature.

Kama utani tu, rapper huyu chipukizi amejizolea umaarufu wa ghafla haswa tu alipojikuta ameingia kwenye bifu na dancer wa staa wa Marry You na rais wa WCB Diamond Platnumz, Moze Iyobo.
Diamond akihojiwa na Global Online Tv, alieleza kwa undani jinsi anavyomfahamu Harmorapa na maoni yake juu ya rapper huyo ambaye kwa siku za hivi majuzi amekua akitengeneza headlines kila uchao.
Katika mahojiano hayo Diamond alisema hana shida na dogo huyo na kama akitaka collabo na role model wake ambaye yuko chini ya label yake ya WCB Harmonize basi angekuwa wa kwanza kuwa mstari wa mbele kuipa shavu collabo hiyo ili kumuinua staa huyo chipukizi. Nikinukuu maneno yake hapa chini;

“Mi nafikiri kwanza nimpongeze kwanza Harmonize. Kwasababu ukishakua mtu fulani, akatokea mtu fulani labda ni shabiki wako, kwasababu itakuwa Harmorapa ana mapenzi na Harmonize, ina maana kuwa kuna mtu anamtazama kuna mtu kwa namna moja ama nyingine anapitia kwa link yake. Na pia nampongeza Harmorapa kwasababu masikini wa Mungu anatafuta riziki,” alisema Diamond.

By Thomas CEO

Yanga kumkosa Donald Ngoma kwa msimu mzima uliobakia

Klabu ya Yanga atakosa huduma ya mshambuliaji wake Mzimbabwe, Donald Ngoma, baada ya mchezaji huyo kurudishwa hospitali kwa ajili ya kuendelea na matibabu ya goti ambayo yanamsumbua kwa muda mrefu.
Daktari wa timu ya Yanga Edward Bavu, ameuambia mtandao wa Goal, Ngoma hali yake imezidi kuwa mbaya baada ya kujitonesha goti hilo Jumamosi kwenye mchezo dhidi ya Zanaco.

“Nimemshauri kocha kumuondoa kwenye orodha ya wachezaji watakao kwenda Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano kwasababu hali yake siyo nzuri na nimelazimika kumuanzishia matibabu upya,”amesema Bavu.
Daktari huyo amesema kwa namna alivyogundua ukubwa wa tatizo hilo, anafikiria mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja kwa msimu mzima uliobakia na anaweza kuwa tayari hadi mwanzoni mwa msimu ujao wa ligi ya Vodacom.
Amesema awali walidhani tatizo hilo litakuwa dogo lakini baada ya kuliangalia kwa undani wamebaini kuwa ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kupata tiba maalumu ili aweze kupona na kurejea kwenye majukumu yake ya kuipigania Yanga.

Ngoma kabla ya taarifa hizo alirejea uwanjani katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zanaco ya Jumamosi lakini hakuweza kumaliza mchezo na kutolewa kipindi cha pili.
Kikosi cha Yanga kinaondoka Alhamisi kuelekea Zambia kwa ajili ya pambano hilo la marudiano na Zanaco na hadi sasa hakuna matumaini ya nyota huyo muhimu kutoka Zambia kuwa anaweza kutoa mchango wake.

By Anord Medson

Kesi ya Wema Sepetu yapigwa kalenda hadi April 11

Kesi ya dawa za kulevya inayomkabili malkia wa filamu, Wema Sepetu yaahirishwa hadi April 11 baada ya upande wa mashtaka kusema kortini Kisutu upelelezi haujakamilika.

Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yawatuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.

Katika upelelezi wa awali ambao ulifanywa na jeshi la polisi, walidai wamekuta msokoto wa bangi nyumbani kwa muigizaji huyo.

By Thomas CEO

Staa mwingine wa Man United aliyefungiwa baada ya Zlatan

March 14 2017 moja kati ya stori zilizochukua headlines katika soka ni hii ya kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Man United ya England Ander Herrera kuthibitika kufungiwa michezo miwili na chama cha soka cha England FA.

Herrera atakosa mechi mbili baada ya kuoneshwa kadi nyekundu ya pili ndani ya msimu mmoja, kadi ya kwanza alioneshwa dhidi ya Burnley October, Herrera sasa anaungana na Zlatan Ibrahimovic aliyefungiwa mechi 3 kwa kumpiga kiwiko Tyrone Mings AFC Bournemouth.

Kwa sasa ni rasmi Herrera atakosa mechi za Middlesbrough na West Brom lakini atakuwa na nafasi ya kuitumikia Man United katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League utakaochezwa alhamisi hii dhidi ya Rostov katika uwanja wa Old Trafford .

By Thaddeus wonderboy

‘Niwaambie ukweli mimi sio mwanasiasa ninayetafuta sifa za kijinga’-Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo March 14 2017 ametembele moja kati ya maeneo yaliyokubwa na Mafuriko yaliyotokana na mvua iliyotokea March 13 2017, Buruguni  Mnyamani ndipo Paul Makonda ametembea na ameagiza Nyumba 36 zilizokuwa pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi kuanza kuvunjwa kesho.

‘ Kuna Nyumba 36 zitaanza kubomolewa kesho na Nyumba hizo zimegawanyika kwenye makundi matatu kundi la kwanza wameshalipwa na wameshapewa viwanja Mabwepande la pili kuna watu pia wamepewa Mwabwepanda wamejenga kule na huku wamepangisha na kundi la mwisho ni wale ambao hawajapata fidia zao’- Paul Makonda

‘ Wale ambao wamejenga pembezoni mwa Mto au umejenga pembezoni kwenye mabonde ni waambie ukweli hakuna pesa yeyote ambayo watapata ngoja niseme tu ukweli mimi si mwanasiasa ninayetafuta sifa za kijinga acha niwaambie tu ukweli ‘- Paul Makonda

By Anord Medson jr

Jumanne, 14 Machi 2017

Jose Mourinho baada ya kuitwa yuda na mashabiki wa Chelsea

Moja kati ya stori zinazo-trend katika soka ni pamoja na hii ya kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho ambaye kwa sasa anaifundisha Man United , kwenda na timu yake ya Man United katika uwanja wa
Stamford Bridge kucheza mchezo wa robo fainali ya FA Cup dhidi ya Chelsea.
Mourinho ambaye amewahi kuifundishwa
Chelsea kwa miaka kadhaa na kuipa mataji mbalimbali ikiwemo ya EPL, alipigiwa kelele na mashabiki wa Chelsea alipokuwa Stamford Bridge na kuanza kumuita yuda wakimaanisha ni msaliti.
Jose Mourinho baada ya kuitwa msaliti aliongea alisema “wanaweza kuniita vyovyote wanavyotaka mimi ni professional nalinda club yangu, hadi sasa kuna kocha aliyeshinda EPL mara nne akiwa na Chelsea kwa hiyo mimi ni namba 1 na hata akitokea mwingine nitakuwa namba 2 lakini kwa sasa yuda ni namba moja” >>> Mourinho

: Kamanda Sirro kajibu ombi la Diamond kuhusu biashara ya chips na bodaboda usiku

Baada ya mwimbaji Diamond Platnumz leo march 14 2017 kupitia kipindi cha Clouds 360 ya Clouds TV kuomba serikali iwasaidie vijana wa vibanda vya chipsi pamoja na bodaboda kuhusu ishu ya muda wa kufanya kazi kuanzia saa sita usiku ambapo alisema muda wa usiku chakula hakipatikani na askari wamekuwa wakimwaga vyakula vyao, kamanda kanda maalum Dar es salaam simon Sirro kajibu kuhusu hilo……
>>> “K imsingi askari wetu wanapita kwa ajili ya usalama na kama amevunja sheria kwa kupitiliza muda hapo ni kuchukua chips zake na yeye mwenyewe, lakini kwenye night clubs wana leseni zao na wanamasharti yao na habari nilizopata wanaweza kuendelea mpaka saa 11 kwa hiyo supu, chips zinapatikana kule ndani”

Emma Watson FINALLY Sings in the BEAUTY AND THE BEAST TV Spot (Video)

Emma Watson FINALLY Sings in the BEAUTY AND THE BEAST TV Spot (Video)
buzzfeed January 9, 2017 1
Prior today, Disney revealed another Beauty and the Beast blurb official as yet, prodding that an all-new take a gander at the cutting edge children’s story would make a big appearance amid the 74th yearly Golden Globes. That new TV spot is here, and it highlights Emma Watson – who stars as Belle, a basic town young lady and designer who longs for experience in the considerable wide some place – singing arranger Alan Menken and lyricist Howard Ashman’s “Dame (Reprise)” from Disney’s 1991 enlivened melodic of a similar name.
The story and characters groups of onlookers know and love come to staggering life in the cutting edge adjustment of Disney’s energized exemplary Beauty and the Beast, a dazzling, true to life occasion commending a standout amongst the most dearest stories ever told. Excellence and the Beast is the awesome trip of Belle, a brilliant, lovely and autonomous young lady who is taken prisoner by a Beast in his palace. In spite of her feelings of dread, she becomes friends with the palace’s charmed staff and figures out how to look past the Beast’s repulsive outside to understand the kind heart of the genuine Prince inside.

Members of the team

1.Thomas Taylor as CEO/Chairman
2.Thaddeus Wonderboy as vice CEO
 
                Other members
3.Khady divya dior as email dealer
4.Anord medy jr as blogger
5.Eric Ricky kleinny as whatsapp manager
6.Macline Mackie as Facebook page manager
7.Nasra Baelovy as instagram page manager

First post

This is our first post in team Personality blog